
SIMBA NA KMC ZAPIGANA MKWARA WA POINTI TATU
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara Desemba 23 Uwanja wa Azam Complex wababe kutoka Dar wamepigana mikwara. Ni KMC watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Abdihamid Moallin Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wanatambua ugumu uliopo lakini wanapaswa kuamini kwamba watapata…