AZAM FC WAKOMBA POINTI MKWAKWANI, FEI AWAKA

WAKIWA ugenini, Azam FC imekomba pointi tatu mazima dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Bao la ushindi limefungwa na Feisal Salum, dakika ya 45 kwa pigo akiwa ndani ya 18 kutokana na makosa ya safu ya ulinzi ya Coastal Union. Ni bao la nne kwa Fei Toto ambaye alifungua akaunti…

Read More

BAADA YA DROO CAF, SIMBA WAJA NA NENO HILI

TAYARI Simba wamewatambua wapinzani wao watakaokutana nao kwenye mechi za kimataifa hatua ya makundi. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira imepangwa kundi B ambapo inasaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Droo hiyo imechezwa leo Oktoba 6, Afrika Kusini na Simba wameweka wazi kuwa malengo yao ni kupata matokeo kwenye mechi zao za…

Read More

KISA PIRA PAPATUPAPATU, SIMBA YABADILI GIA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utarejea ukiwa imara zaidi na mwendo mwingine kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutinga hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba Simba ilifanikiwa mpango kazi kutinga hatua ya makundi kwa faida ya mabao ya ugenini dhidi ya Power Dynamos kwenye mchezo wa kwanza ubao uliposoma Power Dynamos 2-2…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPETA UGENINI

SINGIDA Fountain Gate imefanikiwa malengo ya kusaka pointi tatu kwa msimu wa 2023/24 ikiwa Uwanja wa Manungu. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Manungu dakika 90 zilikuwa upande wa Singida Fountain Gate waliopata ushindi. Dakika 90 ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-1 Singida Fountain Gate bao pekee ma ushindi likifungwa na Elvis Rupia dakika ya…

Read More

SERIKALI IAMUE MOJA TU, IZIBEBE MOJA KWA MOJA GHARAMA

KUNA kila sababu ya kusema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania chini ya Dk Samia Suluhu Hassan inajitahidi kuonyesha inafanya jambo katika michezo nchini. Inawezekana kwa awamu kadhaa zilizopita, Serikali imekuwa ikishiriki katika michezo katika nyanja mbalimbali. Kipindi hiki kumekuwa na mabadiliko zaidi na mengi yanahusisha hamasa na kidogo usaidizi katika gharama ya timu zetu za…

Read More

SIMBA YAKOMBA POINTI TATU ZA WAJELAJELA

SAIDO Ntibanzokiza, kiungo mshambuliaji wa Simba amefungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 1-3 Simba. Ni Edwin Balua kwa Prisons alianza kufunga dakika ya 16, Clatous Chama dakika ya 34 alipachika bao la kwanza kisha John…

Read More

Ligi ya Europa Imekuja Kivingine Wakati Huu

Baada ya kurupushani za juzi na jana kwenye ligi ya Mabingwa kumalizika, sasa ni zamu ya Europa kukupatia mkwanja wa maana ukibashiri na Meridianbet pekee Tanzania. Hapa unapata kila ambacho unakitaka  ikiwemo ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Liverpool ya Klopp baada ya kupata ushindi mchezo uliopita, watamenyana dhidi ya Union Saint-Gilloise…

Read More

AZAM FC KWENYE KIGINGI KINGINE TENA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC ni bandika bandua ugenini kwenye msako wa pointi sita muhimu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Kete ya kwanza ugenini kwa Azam FC ilikuwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kete ya pili ni Tanga dhidi ya Coastal Union, Oktoba 6 Uwanja wa Mkwakwani. Mchezo wa kwanza walitoshana nguvu kwa kugawana…

Read More

SOKOINE MBEYA: PRISONS 1-3 SIMBA

UBAO wa Uwanja wa Sokoine, Mbeya umesoma Tanzania Prisons 1-2 Simba. Edwin Balua alianza kumtungua Ally Salim dakika ya 16 kwa pigo la faulo kisha Clatous Chama aliweka usawa dakika ya 34. John Bocco amepachika bao dakika ya 45 akiwa ndani ya 18. Katika mwendo wa kawaida mastaa wa Tanzania Prisons walionekana wamenyoosha mikono kuonyesha…

Read More

TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI ZA MNYAMA

TANZANIA Prisons, (Wajelajela) leo Oktoba 5 wanatarajia kuwapigisha kwata Simba Kwa kuwachezea pira gwaride mguu pandeeeee. Chini ya Kocha Mkuu, Felix Minziro Prisons ameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu. Mchezo huo ni wa mzunguko wa nne ambapo Simba itakuwa ugenini ukiwa ni mchezo wake wa pili. Mchezo wa kwanza Simba kuwa ugenini ilikuwa dhidi…

Read More

MITAMBO YA MABAO SIMBA YAREJEA

MITAMBO ya mabao ndani ya kikosi cha Simba imerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na kutokuwa fiti tayari kuwakabili Tanzania Prisons, kesho Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Ni Jean Baleke mshambuliaji namba moja ndani ya Simba akiwa na mabao matano pamoja na Luis Miquissone kiungo mwenye pasi moja aliyotoa kwenye mchezo dhidi ya…

Read More

MPIRA SIO VITA, AFYA NA UMAKINI NI MUHIMU

MWENDO wa Ligi Kuu Bara unazidi kupasua anga taratibu. Tunaona namna ambavyo kazi kubwa ipo kwenye msako wa pointi tatu muhimu hili ni jambo la msingi. Pongezi kwa wachezaji namna ambavyo wanajituma kutimiza majukumu yao. Kila mmoja anapenda kuona namna ilivyo mwisho wa mchezo muhimu kuwa makini kwenye kutafuta ushindi. Mzunguko wa tatu umekwenda na…

Read More