MASTAA SIMBA WAJAZWA NOTI MAPEMAAA
WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili ya robo fainali ya AFL dhidi ya Al Ahly. Simba Oktoba 20 wanatarajiwa kukipiga dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa kwanza wa michuano hiyo ya AFL dhidi ya Ahly utakaofanyika katika Uwanja wa Mkapa,…