SIMBA WATOSHANA NGUVU KWA MKAPA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ni mashuhuda wakigawana pointi mojamoja na wapinzani wao ASEC Mimosas wakiwa nyumbani. Licha ya kuanza kupachika bao la kuongoza hali haikuwa njema kwa upande wao walitunguliwa pia bao kipindi cha pili na wapinzani wao. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-1 ASEC Mimosas mchezo…