
HAKUNA AZIZ KI, HAKUN MAYELE YANGA MAPINDUZI CUP
BAADA ya kumaliza mchezo wa funga mwaka dhidi ya Mtibwa Sugar nyota Fiston Mayele ni miongoni mwa wale ambao wamepewamapumziko. Katika msafara wa leo wa kikosi cha Yanga ulioelekea Zanzibar, Mayele hakuwa kwenye kikosi hicho. Nyota wengine ni Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambapo wote hawa wamepewa mapumziko. Kwa mujibu wa meneja…