YANGA V SINGIDA BIG STARS KUKIWASHA

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Big Stars hautakuwa mwepesi hivyo wataingia kwa nidhamu. Ni mchezo wa pili kwenye Kombe la Mapinduzi Yanga watacheza leo Januari 6,2023 baada ya ule wa kwanza kukamilisha kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi Yanga ambayo inamtumia Yacouba Songne kwenye mashindano hayo…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA SIMBA

LIKUMBUKE hili jina la Michael Joseph nyota wa kikosi cha Simba kutoka timu B anakuwa wa kwanza kufunga bao ndani ya timu hiyo kwa mwaka 2023. Ni kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imevuliwa mazima ubingwa wao. Kwenye mchezo wa kwanza ubao ulisoma Simba 1-0 Mlandege jambo lililoyeyusha…

Read More

YANGA KUIKABILI SINGIDA BIG STARS

KIKOSI cha Yanga kesho kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Big Stars. Katika mchezo wa kwanza wa mwaka 2023 Yanga ilisepa na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo dakika 90 zilikuwa ngumu kwa timu zote mpaka…

Read More

CHELSEA VS MAN CITY… UBABE UBABE TU

VITA kali leo Alhamisi itakuwa pale darajani ambapo miamba miwili ya soka itavaana kila mmoja akiwa na machungu yake baada ya kuanza mwaka vibaya. Huu utakuwa ni mchezo wa Premier League kati ya Chelsea na Manchester City ambao walianza mwaka 2023 kwa kupoteza pointi mbili kila mmoja ndani ya ligi hiyo. Mchezo utapigwa katika Uwanja…

Read More

SIMBA V PRISONS… HAPPY NEW YEAR 2023, ASANTE 2022

HAPPY New year 2023 na asante 2022, ilikuwa ni kazi iliyofanyika kwa vitendo ndani ya Uwanja wa Mkapa, Dar, uliosoma Simba 7-1 Tanzania Prisons, juzi Ijumaa ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Hapa Spoti Xtra linakuletea baadhi ya kazi nzito zilizofanywa na wachezaji kwenye msako wa pointi tatu. AISHI MANULA Ilikuwa ni funga mwaka…

Read More

MUDATHIR ATANGAZA HALI YA HATARI YANGA

MARA baada ya kutambulishwa Yanga, kiungo mkabaji, Mudathir Yahya, amesema malengo yake ya kwanza ni kupambania namba ili aingie katika kikosi cha kwanza. Kiungo huyo ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili dogo la usajili lililofunguliwa Desemba 16, 2022 na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2023. Mudathir ana kibarua kigumu cha kuwania namba…

Read More

MBRAZIL AIFUMUA SIMBA, AWAWEKA MTEGONI MASTAA

KOCHA Mkuu mpya wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ raia wa Brazil, amewaweka mtegoni mastaa wa kikosi hicho, baada ya kuweka wazi kwamba, mkakati wake wa kwanza ni kumpa nafasi kila mmoja kuonesha uwezo wake, ili kuwafahamu nyota wote na kuandaa kikosi cha kwanza. Juzi Jumanne, Robertinho alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Simba akichukua nafasi…

Read More

BOSI SIMBA AMKATAA BOBOSI KISA YANGA

MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango wa kumsajili aliyekua kiungo wa Klabu ya Vipers, Bobosi Byaruhanga. Akizungumza na Spoti Xtra, Ally alifunguka: ” Tunatarajia kuongea nguvu katika eneo la kiungo mkabaji ambaye atatusaidia kutimiza malengo yetu msimu huu. “Hatuwezi kumsajili Bobosi…

Read More

MASTAA YANGA WAPEWA MAAGIZO NA NABI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewapa maagizo mazito wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Khalid Aucho na Dickson Job wakati huu wa mapumziko. Nyota hao ni miongoni mwa wale ambao watakosekana kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 visiwani Zanzibar. Meneja wa Yanga,Walter Harrison amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari…

Read More

YANGA WAKIWASHA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU KABISA

WAKATI watani zao wa jadi Simba wakifungua mwaka 2023 kwa kunyooshwa na Mlandege kwenye Kombe la Mapinduzi, Yanga wao wameanza kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya KMKM uliochezwa Uwanja wa Amaan ubao uligoma kubadilika katika dakika 90 za kawaida. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 90+5 na kupata bao la ushindi kupitia kwa…

Read More

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE MAPINDUZI CUP

BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2023 mbele ya Kocha wa mpira, Roberto Oliviera kikosi cha Simba kina kazi nyingine ya kusaka ushindi kesho, Uwanja wa Amaan. Simba imevuliwa ubingwa kwa kutunguliwa bao 1-0 dhidi ya Mlandege kutokana na makosa ya safu ya ulinzi pamoja na ile ya ushambuliaji. Mpango mzuri…

Read More

KIUNGO WA KAZI AONGEZA MKATABA YANGA

KIUNGO wa Yanga Khalid Aucho ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia ndani ya kikosi hicho. Anakuwa mchezaji wa pili kuongeza dili mpaka 2025 ndani ya Yanga. Alianza kutangazwa Djigui Diarra kipa namba moja wa Yanga ambaye aliongeza mkataba katika kikosi hicho na kutangazwa Januari 2. Nyota huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine…

Read More

2022 IMEGOTA UKINGONI,2023 IWE YEYE FURAHA

TAYARI mwaka 2022 umemalizika na tumeingia mwaka 2023, kulikuwa na matukio mengi kwenye dunia ya soka mazuri na mabaya ambayo kwa kiasi kikubwa yaliibua mijadala mikubwa kwa wanafamilia wa mpira wa miguu nchini. Natarajia kuona mabadiliko makubwa kwenye soka letu katika nyanja zote kuanzia utawala, uendeshaji pamoja na utendaji ili tuendelee kuona soka letu likipiga…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI KMKM

MCHEZO wa kwanza ndani ya 2023 Yanga itashuka Uwanja wa Amaan leo dhidi ya KMKM saa 2:15 usiku. Ni Katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 huku kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze akibainisha kwamba wapo tayari kwa ajili ya ushindani.  Kaze amesema kuwa wanatambua ushindani ambao upo kwenye mashindano hayo kutokana na timu kujipanga….

Read More