KIMATAIFA SHUGHULI NI KUBWA MIPANGO MUHIMU

KUTABIRIKA kwa matokeo hakuna kwenye ulimwengu wa soka kutokana na kila timu kujipanga kwa umakini kupata ushindi. Iwe ni nyumbani ama ugenini kwa sasa kila timu ina nafasi ya kupata matokeo hasa kwenye mechi za kimataifa ambazo ufuatiliaji wake huwa ni kwa ukaribu. Wale ambao hawajaanza maandalizi kwenye mechi za kimataifa kwa sasa kazi ni…

Read More

SENEGAL WALITWAA TAJI KWA KAZI KUBWA KWELIKWELI

FEBRUARI 4,2023 itabaki kwenye kumbukumbu za mastaa wa Senegal kutokana na kukutana na kisiki kizito kwenye mchezo wa fainali ya taji la Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani, (CHAN). Kwenye fainali hiyo dhidi ya Algeria mashabiki walikuwa wanawazomea wachezaji wa Senegal mwanzo mwisho lakini haikuwa bahati kwao. Dakika zote 120 ziligota kwa timu…

Read More

MZAWA JOB AWEKA REKODI TAMU BONGO

MZAWA Dickosn Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake matata kwa kuwa mzawa pekee ambaye amefunga kwa timu za Kariakoo Februari ndani ya Uwanja wa Mkapa. Mechi za ufunguzi wa Februari, Simba na Yanga zote zimecheza Uwanja wa Mkapa na kusepa na ushindi ilianza Simba Februari 3 ubao uliposoma Simba 3-1 Singida…

Read More

AZAM FC,YANGA, SIMBA KUPAMBANA NA HAWA FA

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…

Read More

MAYELE ANATOA SOMO LA BURE KWA WENGINE

FISTON Mayele ni mshambuliaji ambaye sio mwepesi kukata tamaa akiwa uwanjani, akikutana na makipa wenye mbwembwe huwa anawatazama kisha akishagundua tabia yao hapo anaongeza presha kwenye namna ya uokoaji na kutoa pasi. Amekuwa bora kwa misimu miwili mfululizo na kwenye mechi zote ambazo amecheza hajui ladha ya kuonyeshwa kadi ya njano ikiwa inamaanisha ana nidhamu…

Read More

AKILI KUBWA MZUNGUKO WA PILI MATUMIZI YA NGUVU NI MAUMIVU

MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…

Read More

LIGI KUU TANZANIA BARA KUKIWASHA LEO

FEBRUARI 6,2023 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Ni Polisi Tanzania watakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi wakimenyana na Kagera Sugar ndani ya dakika 90. Polisi Tanzania imekusanya pointi 15 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Kagera Sugar wakiwa wamekusanya pointi 25 kibindoni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na…

Read More

MASHABIKI MOROCCO,PAMBO LA WORLD CUP

Saleh Ally, Rabat UTAMADUNI wa ushangiliaji katika soka uko tofauti karibu kila ukanda, na unaweza kutofautiana kwa bara moja zaidi ya sehemu nne au tano. Mfano angalia ushangiliaji wa soka la Tanzania, una tofauti kubwa sana na ushangiliaji wa soka la Kaskazini mwa Afrika katika nchi kama Misri au Morocco. Sifa kubwa ya ushangiliaji hapa…

Read More