
VIDEO:SIMBA IMECHAMBULIWA HIVI KIMATAIFA
SIMBA imechambuliwa hivi kimataifa baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Ligi ya Mabingwa Afrika
SIMBA imechambuliwa hivi kimataifa baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Ligi ya Mabingwa Afrika
YANGA wafungukia ishu ya kichapo kimataifa
BAADA ya kupoteza katika mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Horoya ya Guinea Kwa kutunguliwa 1-0 msafara wa kikosi cha Simba unatarajiwa kurejea leo Dar. Ni mastaa 24 ikiwa ni makipa watatu Aishi Manula, Beno Kakolanya na Ally Salim kwa upande wa mabeki ni Shomari Kapombe, Israel Mwenda, Gadiel Michael, Mohamed Hussein, Henock Inonga,…
ROBERTINHO:Mtafurahi kwa Mkapa, Nabi:TP Mazembe nawajua, hawasumbui ndani ya Championi Jumatatu.
WAKIWA ugenini nchini Tunisia wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamepoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Olympic Rades umesoma US Monastir 2-0 Yanga. Pointi tatu zimeyeyuka mazima ugenini kwa Yanga ambayo ilifanikiwa kwenye umiliki wa mpira muda wote huku wapinzani wao wakimaliza kazi ndani ya…
HAKUNA mbabe ndani ya dakika 90 baada ya kutoshana nguvu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Wakati Ihefu ikigawana pointi mojamoja na Singida Big Stars kwa kufungana bao 1-1 nyota Nivere Tigere penalti yake imeokolewa na mlinda mlango Benedict Haule. Mchezo huo umechezwa leo Februari 12 huko Mbeya,Mbarali. Ngoma Uwanja wa Highland ilikuwa ngumu kwa…
DAKIKA 45 za mwanzo zimemeguka ambapo ubao unasoma US Monastir 2-0 Yanga wawakilishi kutoka Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mohamed Saghroui dakika ya 10 na Boubacar Traore ilikuwa dakika ya 15. Djigui Diarra anatimiza majukumu yake akiwa ameokoa hatari moja iliyokuwa ni nafasi ya wazi kwa wapinzani wao kufunga ilikuwa dakika ya 12….
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ambacho kitaanza kwenye mchezo dhidi ya US Monastir ya Tunissia kipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Yannick Bangala Dicckson Job Kibwana Shomary Aucho Moloko Mayele Sure Boy Kisinda Aziz KI
REAL Madrid ni mabingwa baada ya kushinda kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia la Klabu, wakilitwaa taji hilo mara tano wakiwa na rekodi tamu ya kusepa na taji hilo mara nyingi zaidi. Real Madrid ilipata ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Al Hilal ya Saudia ambao walikwama kutimiza malengo yao kwenye mtanange huo….
KUKAA kimya ni jibu gumu ambalo linaleta maumivu kwa wale ambao wanakutegemea na kukuamini hivyo ni lazima uongee kwa namna yoyote ile. Kwenye ulimwengu wa michezo kwenye anga la kimataifa kukaa kimya kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi ni kukosa kutumia nafasi jambo linalofanya kila mmoja kupata maumivu. Ni kazi ngumu na kubwa kwa…
Hii hapa nyingine kutoka kwa wakali wa michezo ya kasino mtandaoni Meridianbet, ni Pirates Power sloti bomba na nzuri isiyochosha kucheza na ten ani rahisi kushinda mkwanja, kwani sloti hii ya Pirates Power imekuja na Bonasi kibao, Ingia mchezoni sasa na ufurahie Maisha. Kutoka studio za mabingwa wa sloti za mtandaoni, Meridianbet tunakupatia uhalisia wa…
TUTAWASHANGAZA, Manula aibuka shujaa licha ya kupoteza kimataifa ndani ya Spoti Xtra Jumapili
SAMBALOKETO anga za kimataifa kwa Simba limekwama baada ya kuhushudia wakiyeyusha pointi tatu ugenini. Dakika 90 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ubao umesoma Horoya 1-0 Simba. Bao la ushindi kwa Horoya limepachikwa dakika ya 18 na Pape Ndiaye aliyetumia makosa ya mabeki kushindwa kwenda naye sawa wakati wa pigo la…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wanatambua uimara wa wapinzani wao US Monasti hivyo wanajipanga kusaka ushindi. Kesho Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ukiwa ni mchezo wa kwanza kwenye makundi. Nabi ameweka wazi kuwa anawatambua wapinzani wao ni moja ya…
DAKIKA 45 za mwanzo zimemeguka kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Horoya 1-0 Simba bao ambalo limepachikwa ndani ya dakika 30 za kipindi cha mwanzo. Ni Pape Nd’iaye mwamba mmoja kaenda hewani akiwa huru na kumtungua kipa Aishi Manula. Kazi ni nzito kwa Simba kwa kuwa hakuna shambulizi kali ambalo wamelifanya…