
AZAM FC KWENYE KAZI DHIDI YA MAPINDUZI
AZAM FC leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa 16 bora ASFC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Itakuwa ni dhidi ya Mapinduzi saa 1:00 usiku ambapo mshindi atatinga hatua ya rob fainali. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo tayari kwa mchezo huo ni pamoja na Abdul Suleiman, ‘Sopu’, Prince Dube,Sospeter Bajana. Kwa mujibu…