
UTARATIBU WA KUINGIA KWA MKAPA LEO HUU HAPA
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema utaratibu wa kuingia kwa mashabiki Uwanja wa Mkapa utaanza saa sita kamili. Leo timu ya Taifa ya Tanzania ina kiarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Uganda ambao ni wa kuwania kufuzu Afcon. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Misri uba ulisoma Uganda 0-1…