
AZAM FC WANAWATAKA SIMBA NUSU FAINALI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho inahitaji kucheza na Simba. Aprli 3 Azam FC ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na kukata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali inamsubiri mshindi kati ya Simba na Ihefu icheze naye hatua ya nusu fainali. Ofisa Habari…