
NABI AWAKIMBIZA KINONOMA SIMBA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amemkimbiza kinomanoma Roberto Oliveira raia wa Brazil kwenye upande wa kusepa na pointi tatu muhimu ndani ya dakika 450. Katika mechi tano za hivi karibuni Yanga haikuwa na namna ilisepa na pointi zote 15 ilizokuwa inasaka huku Oliveira akikwama kufanikisha jambo hilo. Simba kwenye msako wa pointi 15 imegotea…