AZAM FC WAFUNGA DESEMBA KIBABE

DESEMBA imekuwa bora kwa Azam FC baada ya tuzo kuelekea Azam Complex kutoka Kamati ya Tuzo ya Shirikisho là Mpira w Miguu Tanzania, (TFF). Ni Kipre Junior amechaguliwa kuwa mchezaji bora aliwazidi Prince Dube wa Azam FC na Aziz KI wa Yànga. Mbali na Kipre ambaye alihusika kàtika mabao manne kwenye michezo mitatu ndani ya…

Read More

UKURASA MPYA UFUNGULIWE KWA HESABU MPYA

WAKATI wa sasa kwenye mashindano ambayo yanaendelea ni muhimu kila timu kukamilisha mipango iliyopanga kuikamilisha ndani ya mwaka. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba anafungua ukurasa mpya wa mwaka huku mipango mingi ikiwa haijanikiwa kufikia pale ambapo ilikuwa inahitajika. Ipo wazi kwamba kila mmoja ni lazima awe makini kwenye kutimiza majukumu yake kwa wakati uliopo na…

Read More

MGHANA WA SIMBA KUTAMBULISHWA YANGA

NYOTA Agustino Okra ambaye amecheza ndani ya kikosi cha Simba kabla ya kukutana na Thank You anatajwa kuwa kwenye hesabu za kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga. Yanga inanolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond ambapo ina mpango wa kuboresha kikosi hicho ili kuendelea kuwa kwenye ubora wake

Read More

CR KAFUNGA MWAKA KWA MABAO KIBAO

MAISHA yake kwa sasa ya soka ni Saudi Arabia katika Klabu ya Al Nassr inayoshiriki  Saudi Professional League. Ni Desemba 30, Al Nassr ilikipiga dhidi ya Al-Taawoun na kushinda mabao 4-1, kwenye mchezo wa ligi. Katika ushindi huo wa Al Nassr, Ronaldo yeye alitupia bao moja dakika za lala salama kwa mpira wa kichwa. Bao…

Read More