MEDDIE KAGERE NA UJUMBE WAKE MAPINDUZI CUP

FULANA ya Meddie Kagere mshambuliaji wa zamani wa Simba na Gor Mahia imezua gumzo kutokana na ujumbe wake ambao uliandikwa wakati akishangilia. Ni kwenye Mapinduzi Cup 2023  ambapo mambo yanazidi kuwa katika ubora baada ya wanafainali 2022 kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya JKU SC. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKU SC 1-4…

Read More

REBECCA REFA MWENYE REKODI YAKE EPL

REBECCA Welch, ameweka rekodi ya kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kuchezesha mechi ya Premier League, alifanya hivyo katika mchezo baina ya Fulham dhidi ya Burnley, Jumamosi iliyopita. Welch kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na soka la wanaume, ambapo kwanza aliweka rekodi ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa kike kuchezesha mechi ya EFL, Aprili 2021, kisha…

Read More

YANGA KUMSHUSHA MGHANA

INAELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga Mghana Augustino Okra ambaye ni winga. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kumalizana na mabosi hao kwa ajili ya kuanza changamoto mpya. Okra aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Simba alikwama kuonyesha uwezo wake kwa wakati huo mpaka alipokutana na Thank You….

Read More

STRAIKA MCOLOMBIA MLANGONI SIMBA

IMEELEZWA kuwa Simba muda wowote watakamilisha usajili wa mshambuliaji wa Klabu ya Comerciantes FC, Mauricio Cortes raia wa Colombia. Simba imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi chao, kati ya hayo ni safu ya ushambuliaji ambayo Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha amependekeza usajili huo. Safu hiyo ya ushambuliaji hivi sasa inaongozwa na John Bocco, Jean…

Read More

SANKARA APIGA SIMU YANGA

MSHAMBULIAJI wa Asec Mimosas, Karamoko Sankara hatimaye amefunguka dili lake na Yanga huku akisema kuwa amekuwa akiwapigia simu wachezaji wa sasa wa Yanga, Pacome Zouzoua na Kouassi Attohoula Yao ambao ni marafiki zake. Sankara amekuwa akihusishwa kwa muda sasa kutakiwa na Yanga huku msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa amefanikiwa kufunga mabao 4…

Read More