
MAKONDA AWAVAA TANESCO UMEME KUKATIKA KATIKA – ”HAKUNA KULIPANA POSHO, HAKUNA KULALA”…
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimelitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO lijitafakari kwakuwa si kila sababu za TANESCO kuhusu kukatika kwa umeme nchini zina mashiko ila nyingine ni uzembe. – Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda katika mkutano wake na waandishi wa habari…