
SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE BONGO
BAADA ya kete ya tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kuwa yamoto kwao kikosi cha Simba kinarejea Bongo kuendelea na maandalizi ya mechi zinazofuata. Licha ya Ayoub Lakred kuokoa penalti kipindi cha kwanza bado Simba walikwama kusepa na ushindi kutokana na makosa waliyofanya katika kipindi cha pili. Timu hiyo baada ya kucheza mechi tatu katika…