
SIMBA WATOA TAMKO BAADA YA KUPIGWA 5 G NA YANGA
NGOMA imekamilika kwa Simba kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yanga. Mabao ya Aziz KI, Max Nzengeli ambaye alifunga mawili, Pacome kwa mkwaju wa penalti na Musonda Kennedy aliyefungulia pazia la mabao dakika ya tatu yametosha kuwatuliza Simba. Bao pekee la Simba lilifungwa na Kibu Dennis ambaye alitumia…