BARCELONA YAPASUKA EL CLASICO
MCHEZO wa El Clasico, Barcelona wameshuhudia wakipoteza pointi tatu mazima ndani ya Uwanja wa Camp Nou. Ulikuwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, (La Liga) uliokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Barcelona 1-2 Real Madrid ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa miamba hawa wa Hispania kukutana…