
HUYU HAPA MCHEZAJI BORA NA KOCHA BORA WA LIGI KUU BARA
NI Waziri Junior nyota wa KMC ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa Septemba akiwashinda Jean Baleke wa Simba na John Nakibinge wa Tabora United. Junior katupia mabao mawili muhimu ndani ya KMC na timu hiyo ilipata pointi sita dhidi ya JKT Tanzania na Geita Gold. Pia kocha bora wa Septemba kwa mujibu…