FT: AL AHL 1-1 SIMBA

 WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano mapya ya African Football League safari yao imegota mwisho baada ya kuondolewa na Al Ahly waliopata faida ya kuwa na mabao mengi ugenini. Mchezo wa robo fainai ya pili ambao umechezwa nchini Misri, Oktoba 24 ubao umesoma Al Ahly 1-1 Simba. Bao la Simba limefungwa na Sadio Kanoute dakika ya…

Read More

JE UNITED ANAWEZA KUSHINDA KWA MARA YA KWANZA LEO HII?

Mambo Vipi mteja wa Meridianbet? Leo ndio leo na michezo ya Ligi ya mabingwa itapigwa kwenye viwanja mbalimbali kuanzia kule Old Trafford na kwingine pia. Ingia www.merididnabet.co.tz uanze kusuka mkeka wako wa maana na wenye maokoto ya kutosha. Manchester United akiwa hajashinda mechi yoyote mpaka sasa atakuwa katika dimba la Old Trafford kumenyana dhidi ya…

Read More

AFL: AL AHLY 0-0 SIMBA

Kipindi cha pili ubao umesoma Al Ahly 1-1 Simba ambapo Simba walipachika bao kupitia kwa Sadio Kanoute dakika ya 67 likasawazishwa na Kahraba dakika ya 76. FT Al aHLY 1-1 Simba na wanaondolewa kwa kanuni kwa kuwa mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani waliruhusu kufungwa mabao 2-2. Ni hatua ya robo fainali, African Football League nchini…

Read More

AL AHLY V SIMBA HAITAKUWA MECHI NYEPESI

BAADA ya mchezo wa ufunguzi kufanyika Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa kinachofuata kwa sasa ni mchezo wa marudiano ugenini. Ipo wazi kwamba Simba, iliandika rekodi ya kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kucheza michuano mikubwa na mipya ya African Football League dhidi ya Al Ahly ya Misri. Haikuwa mechi nyepesi kutokana…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo kina kazi ya kusaka ushindi mchezo wa robo fainali African Football League. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein Henock Inonga Che Malone Sadio Kanoute Fabrince Ngoma Kibu Dennis John Bocco Saido Ntibanzokiza Clatous Chama

Read More

UNYAMA KUENDELEZWA KWA WAARABU, ITAFAHAMIKA

UNYAMA unatarajiwa kuendelezwa leo nchini Misri kwa mchezo wa hatua ya robo fainali ya pili ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba kutoka Tanzania. Benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira limebainisha kuwa lina imani ya kupata matokeo ugenini ili kutinga hatua ya nusu fainali.  Hapa tunakuletea hesabu namna…

Read More

MO AWEKA MEZANI ZAIDI YA 500M

Kuelekea mchezo huo, unaambiwa wachezaji wa Simba wamechachamaa wakiitaka shilingi milioni 500 walizoahidiwa na Rais wa Heshima wa Klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’ akiwataka kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Al Ahly ya Misri. Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, kabla ya Simba kuanza safari kuelekea Misri, Mo alikutana na wachezaji vyumbani kwenye Dimba…

Read More

AZAM FC MBELE YA YANGA HAWANA BAHATI KABISA

KATIKA mechi mbili za ushindani ndani ya dakika 180, matajiri wa Dar Azam FC hawana bahati kabisa mbele ya Yanga. Katika mchezo wa kwanza kumenyana ilikuwa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 2-0 Azam FC. Ngoma ikawa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa dakika…

Read More

KAZI IPO KWA WACHEZAJI WA SIMBA KIMATAIFA

MAJIBU ya nani atakuwa mshindi atakayesonga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano mapya ya African Football League kati ya wawakilishi wa Tanzania, Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri yanasubiriwa leo. Ukweli ni kwamba mchezo wa leo una maana kubwa kwa Simba kuandika rekodi mpya ambayo itabaki kwenye kumbukumbu za muda wote. Ni mchezo mgumu…

Read More