
Unamjua Osman Bey (Burak Ozcivit), Ana Utajiri Wa Kiasi Gani?
Burak Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati akiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Marmara huko Istanbul. Mwaka 2003 nyota yake ilianza kung’aa kwa kuwa Mwanamitindo bora wa Uturuki na miaka miwili baadae 2005 alitambuliwa kuwa nafasi ya 5 kwa wanamitindo…