SIMBA YAKOMBA POINTI TATU ZA WAJELAJELA
SAIDO Ntibanzokiza, kiungo mshambuliaji wa Simba amefungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 1-3 Simba. Ni Edwin Balua kwa Prisons alianza kufunga dakika ya 16, Clatous Chama dakika ya 34 alipachika bao la kwanza kisha John…