SIMBA YAWAVUTIA KASI POWER DYNAMOS LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BAADA ya kutoshana nguvu mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa wakiwa ugenini, hesabu za Simba ni kupata ushindi mchezo ujao. Ubao wa Uwanja wa Levy Mwanawasa baada ya dakika 90 ulisoma Power Dynamos 2-2 Simba. Mabao yote ya Simba yalifungwa na kiungo Clatous Chama ambapo lile la kuweka usawa alifunga dakika ya 90 muda…