
KIMATAIFA KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO
TUMEONA namna ambavyo wawakilishi wetu kwenye anga la kimataifa wakiendelea kupambania kombe kufikia malengo ambayo yapo na kila mmoja akiwa anahitaji kuona ushindi unapatikana. Kila timu inaona namna ambavyo kazi inafanyika kutokana na msako wa ushindi kwenye mchezo husika. Ipo hivyo mashindano ya kimataifa hayana mwenyewe ila atakayefanya maandalizi mazuri ni njia nyepesi kupata matokeo….