
COASTAL UNION INAJITAFUTA KIMATAIFA
UONGOZI wa Coastal Union umesema utahakikisha kuwa unafanya vizuri kwenye ligi kuu msimu huu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao. Mpaka sasa kwenye ligi Coastal Union ipo nafasi ya 10 ina pointi moja baada ya kucheza michezo miwili baada ya kupoteza mchezo mmoja na kutoa sare mchezo mmoja. Timu hiyo iliwahi…