
SINGIDA FOUNTAIN GATE WAJA NA MKWARA HUU
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kichapo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka Coastal Union juzi ukiwa ni mchezo wa kirafiki hakuwazuii kufanya vyema dhidi ya Simba kesho Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Huo ulikuwa ni mchezo wa kirafiki kwa timu hiyo ambayo imewasili Tanga kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya Ngao ya Jamii inayotarajiwa kuanza…