>

MASHINDANO YA AFL KUFANYIKA OKTOBA, UZINDUZI WA KIHISTORIA

MASHINDANO ya klabu bora barani Afrika, African Footal League , (AFL) yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 2023, uzinduzi wake wake unatarajiwa kufanyika Dar, Tanzania. Ni mechi ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Dar Oktoba 20,2023 ikiwa ni fursa kwa wachezaji bora Afrika kuonyesha uwezo wao kwenye ulimwengu wa michezo duniani. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanzia katika hatia ya robo fainali…

Read More

SUALA LA MIKATABA LINAHITAJI UMAKINI

WACHEZAJI wengi kwenye timu mbalimbali Bongo wamekutana na Thank You kutokana na kile ambacho viongozi wameaona ilipaswa kufanyika hivyo. Sio Simba, Yanga, Azam FC, Singida Fountain Gate mpaka Geita Gold kuna wachezaji ambao walikutana na mkono wa asante. Pia kuna timu ambazo zilikutana na adhabu kutokana na kushindwa kuwalipa wachezaji ama makocha baada ya kuachana…

Read More

INGIZO JIPYA SIMBA LAANZA MATIZI

WINGA wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC Mimosas hakuwa fiti Jambo lililomuweka nje ya uwanja. Kramo aliumia kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi za Ngao ya Jamii kule Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Simba ilicheza mechi mbili dhidi ya…

Read More

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HII HAPA

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kitaweka kambi jijini Tunisi, Tunisia kwa ajili ya kujiandaa kwa mchezo wa marudiano wa Kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Algeria. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, 2023.  Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu Adel Amrouche ambyae ametaja orodha hii:- Beno Kakolanya (Singida BS) Metacha Mnata…

Read More

MKALI WA MABAO SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA KOCHA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amevunja ukimya kwa kusema hana tatizo lolote na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Robert Oliveira ‘Robertinho’ kutokana na kukosa nafasi ya kucheza muda mrefu. Msimu wa 2022/23 Phiri alitupia kibindoni mabao 10 na alikuwa shuhuda mfungaji bora akitokea Yanga na mwingine Simba. Ni Fiston Mayele wa Yanga na Saido…

Read More