
KIVUMBI FAINALI FA MANCHESTER UNITED V CITY
MENEJA Erik ten Hag amesema Manchester United hawana uwezekano wa kuwa na Antony kwenye fainali ya Kombe la FA Jumamosi dhidi ya Man City. Itakuwa kivumbi watakapokutana kwenye mchezo huo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki duniani. Ten Hag alikuwa na matumaini zaidi kuhusu nafasi ya mshambuliaji wa Brazil baada ya kupata jeraha kwenye…