KOCHA ALIYEPELEKA MAUMIVU MSIMBAZI SAFARI IMEMKUTA
KALI Ongala aliyekuwa kocha msaidizi wa Azam FC hatakuwa kàtika benchi hilo kwa msimu wa 2023/24. Kocha huyo amepeleka maumivu kwa Simba mara mbili kwenye mashindano tofauti ligi na shirikisho. Ongala mchezo wake wa mwisho kukaa benchi ilikuwa Juni 12 aliposhuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ukisoma Azam FC 0-1 Yanga. NI fainali ya Azam…