
YANGA WASEPA NA UBINGWA WAO WA LIGI KUU BARA
YANGA wamesepa na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 wakiwa na pointi 78. Mchezo wa mwisho kwa msimu huu wameshuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Ni mabao ya Fiston Mayele wa Yanga dakika ya 33 alipachika bao hilo akitumia pasi ya Sure Boy na bao la pili ni…