
YANGA MATUMAINI YAKUTOSHA KIMATAIFA
NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ado mchezo haujaisha kwenye anga la kimataifa licha ya kupoteza kweye fainali ya kwanza. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-2 USM Alger ya Algeria. Bao pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele ambaye anafikisha jumla ya mabao 7 kwenye anga za…