AZIZ KI AFICHUA SIRI YA MABAO YAKE

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga amefichua kuwa mabao yake anayofunga ni kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo kwenye kila mchezo ambao atapata nafasi ya kucheza. Nyota huyo katupia mabao 9 kibindoni akiwa na pasi tano za mabao baada ya kucheza jumla ya mechi 23 ndani ya msimu wa 2022/23. Ni…

Read More

KIUNGO WA KAZI SIMBA AVUNJA REKODI YAKE

MSENEGAL Pape Sakho anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba amevunja rekodi yake aliyoiandika yeye mwenyewe msimu wa 2021/22 kwenye suala la kutupia mabao. Nyota huyo msimu huo alitupia mabao sita kimiani baada ya kucheza jumla ya mechi 22 akitumia dakika 1,355 alitengeneza pasi tano za mabao. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji wa mabao ni Fiston…

Read More

HALLA CITY YAWAVUA UBINGWA REAL MADRID

MANCHESTER City imetinga hatua ya Fainali ya UEFA Champions League 2022/23 itamenyana na Inter Milan hatua ya fainali. Real Madrid ambao walikuwa ni mabingwa watetezi wamevuliwa taji hilo rasmi ugenini. Chini ya Pep Guardiola katika mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili uliochezwa Uwanja wa Etihad iliibuka na ushindi wa mabao 4-0. Ni Bernardo…

Read More

HUYU HAPA ‘MCHAWI’WA SIMBA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizofanya wakagotea nafasi ya pili ni kuwa na wachezaji ambao hawapo fiti muda wote. Miongoni mwa wachezaji ambao msimu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Simba walikuwa wanapambania hali zao ni pamoja na kiungo Peter Banda, Agustino Okra, Moses Phiri na Aishi Manula. Simba…

Read More