HIKI NDICHO WANACHOKITAKA SIMBA

NAHODHA wa Simba John Bocco, amesema kuwa kwa sasa wanatafuta heshima pekee ya kukamilisha ligi na ushindi kwenye mechi zote mbili zilizobakia ili kurejesha furaha kwa mashabiki wao. Tayari mabingwa wa ligi ni Yanga wanaonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia wakiwa na pointi 74. Ijumaa iliyopita Simba iliishusha rasmi Ruvu Shooting kwa…

Read More

HONGERENI YANGA, KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO

YALE ambayo yalipangwa kwa kila mmoja kwenye msimu wa 2022/23 taratibu wengine wameshakamilisha na wengine bado wanasubiri mpaka mwisho. Ruvu Shooting ni mwendo wameumaliza kwenye mechi za ligi baada ya kushuka ndani ya ligi na sasa wanaibukia Championship. Wale ambao wamekwama kufikia malengo yao wakiwa wanasubiria mechi mbili za mwisho ni lazima wapambane kufikia malengo…

Read More

SABABU KICHAPO AZAM FC IPO HIVI

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa Namungo walistahili kupata ushindi kwenye mchezo wao kutokana na wachezaji wake kucheza chini ya kiwango. Mei 14 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-2 Namungo ambao walitupia kimiani kupitia Hassan Kabunda na Shiza Kichuya huku mchezaji wa Namungo Paterne Counou akijifunga. Azam FC…

Read More

LIVERPOOL YAPETA UGENINI

LIVERPOOL wakiwa ugenini wamesepa na pointi tatu muhimu na kuwashusha wapinzani wao Leicester City. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Leicester City 0-3. Mabao ya Curtis Jones dakika ya 33 na 36 huku msumari wa tatu ukipachikwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 71. Ndani ya King Power Leicester City walipiga mashuti manne yaliyolenga lango huku…

Read More

YANGA KAMILI KUIVAA MARUMO KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ya kuwakabili wapinzani wao Marumo Gallants yanakwenda sawa. Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi tayari kimetia timu Afrika Kusini kwa mpango kazi wa kusaka ushindi Mei 17. Mchezo huo ni hatua ya nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo mshindi wa jumla…

Read More