
SIMBA YAICHAPA RUVU SHOOTIMG, YASHUKA DARAJA
KLABU ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu Bara hadi Championship (Ligi Daraja la Kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wa 28 msimu huu uliochezwa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 30, Pape Sakho dakika ya 72 na 90…