
MKIA WAWA MGUMU KWA NAMUNGO V SIMBA
MKIA wa pointi tatu kwa wababe Namungo na Simba umekuwa mkubwa kuliko na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Simba walianza kupachika bao dakika ya 27 kupitia kwa Jean Baleke liliwaongezea hasira Namungo kusaka bao la kuweka usawa. Ni Hassan Kabuda dakika ya 39 alimtungua Ally Salim akitumia makosa ya kipa huyo namba tatu kwenye kuokoa hatari….