TANZANIA PRISONS KUBORESHA NGUVU USHAMBULIAJI

KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdalah Mohamed,’Bares’ amesema kuwa watafanya kazi kubwa kuiboresha safu ya ushambuliaji ili kufunga mabao mengi zaidi. Prisons ipo nafasi ya 9 ina pointi 31 baada ya kucheza mechi 27 katika ligi msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba vinara wa ligi ni Yanga wakiwa na pointi 68 baada ya kucheza mechi 26…

Read More

HUYU HAPA KOCHA MPYA AZAM FC

NI Youssouph Dabo ametambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Azam FC msimu ujao, 2023/24. Dabo, raia wa Senegal, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwa ndani ya Azam FC. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kali Ongala ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu. Kituo kinachofuata kwa Azam FC ni Jumamosi mchezo wa ASFC dhidi ya Simba,…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA NENO

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi zao. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 ndani ya ligi na mabao matano katika Kombe la Shirikisho Afrika ametupia mabao matano kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali. Mei Mosi kikosi…

Read More

SIMBA NDANI YA RUANGWA, LEGEN MKUDE NDANI

JONAS Mkude ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo kwenye msafara ulipo Ruangwa,Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mkude alikosekana kwenye mechi za hivi karibuni katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Simba ikifungashiwa virago na Wydad Casablanca hatua ya robo fainali kuanzia ule wa nyumbani hata ugenini. Yupo…

Read More