
KINZUMBI AIWAHI KAMBI YANGA
WINGA wa TP Mazembe ya DR Congo, Phillipe Kinzumbi, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutua nchini tayari kwa kuingia kambini Yanga. Nyota huyo ni kati ya wachezaji walio katika mipango ya kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao ambapo wikiendi iliyopita alipewa mkataba wa awali. Usajili wa Kinzumbi ni chaguo la Kocha Mkuu wa…