POLISI TANZANIA MAJANGA TUPU

HAKUKUWA na usalama mkubwa kwa Polisi Tanzania walipokuwa ndani ya Uwanja wa Liti baada ya kuacha poiti zote tatu. Ni majanga matupu kwa Polisi Tanzania wanaotafuta matumaini ya kucheza mchezo wa mtoano na kujinasua kutoka kwenye nafasi ya mwisho kwenye msimamo. Aprili 7 ubao ulisoma Singida Big Stars ubao ulisoma Singida Big Stars 3–0 Polisi…

Read More

AZAM FC YASEPA NA POINTI ZA MTIBWA SUGAR

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mabao ya Issah Ndala dakika ya 39 na lile la pili ni mali ya Idd Suleiman dakika ya 60. Bao la Mtibwa Sugar dakika ya 75 walikwama kuweka usawa mpaka ilipogota dakika ya 90 kwenye mchezo…

Read More

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KWA 5G

SIMBA inatinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Ni mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi makubwa ya nguvu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Mabao ya Simba yamepachikwa na Jean Baleke ambaye ametupia mabao matatu kwenye mchezo wa leo. Saido Ntibanzokiza katupia bao moja kipindi…

Read More

SIMBA 4-0 IHEFU

UWANJA wa Azam Complex ubao unasoma Simba 4-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali Azam Sports Federation. Mabao ya Simba ymepachikwa na Jean Baleke ambaye ametupia mabao matatu kwenye mchezo wa leo. Bao moja limefungwa na Saido Ntibanzokiza kipindi cha kwanza. Ngoma ilianza na Baleke dakika ya 2,15 na 27 huku lile…

Read More

AZAM FC WANAWATAKA SIMBA NUSU FAINALI

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho inahitaji kucheza na Simba. Aprli 3 Azam FC ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na kukata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali inamsubiri mshindi kati ya Simba na Ihefu icheze naye hatua ya nusu fainali. Ofisa Habari…

Read More

SIMBA KUWAKABILI IHEFU KWA TAHADHARI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa tahadhari kubwa ili kupata matokeo mazuri. Simba inatarajiwa kutupa kete yake leo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex mshindi wa mchezo atakutana na Azam FC hatua ya nusu fainali. Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao…

Read More

YANGA:HATUNA MASHAKA KIMATAIFA, TUPO TAYARI

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa hawana mashaka na hatua ya robo fainali waliyofikia zaidi ni hesabu kwenye mechi za hatua hiyo kupata matokeo chanya. Yanga imakamilisha kundi D ikiwa ni namba moja kibindoni ilikusanya pointi 13 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 9. Inakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Rivers…

Read More

BALEKE HAKAMATIKI, AMKALISHA MUSONDA

USAJILI wa Simba kwa mshambuliaji Mkongomani, Jean Baleke umeonekana kuwa bora zaidi ya straika wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda. Hiyo imetokana na kasi na ubora wake wa kufunga mabao tangu Mkongomani huyo ajiunge na Simba katika usajili wa dirisha dogo kama ilivyo kwa Musonda. Usajili wa Baleke ulikuwa ukibezwa kutokana na kujiunga na timu hiyo…

Read More