MASTAA HAWA SIMBA WAPENYA KUWANIA TUZO

KIPA namba tatu wa Simba, Ally Salim ameingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo ya mchezàji Bora wa mashabiki Kwa mwezi Aprili. Hiyo ni tuzo maalumu inayotolewa ndani ya Simba kwa udhamini wa Emirate Aluminium Profile. Ni mechi nne kakaa langoni Salim ambapo upepo unaoyesha kuwa anaweza kusepa nayo. Ni Jean Baleke na Kibu Dennis hawa…

Read More

IJUE SABABU YA MABAO 10 YA SIMBA KUWEKWA BENCHI

BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa sababu ya mtambo wao wa mabao Moses Phiri kujenga ushikaji na benchi ni kutokuwa fiti asilimia 100 baada ya kupata maumivu. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga ambaye ametupia mabao 16 kwenye ligi msimu huu wa 2022/23. Phiri katupia mabao 10 kibindoni kwenye ligi akiwa…

Read More

YANGA GEREZANI WAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA

MWENYEKITI wa Tawi la Yanga, Gerezani, Kariakoo, Hassan Sasama amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa kulipa kisasi mbele ya Rivers United katika mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Rivers United. Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Rivers United ikiwa ni robo fainali ya pili wana faida…

Read More

HAITAKUWA MWISHO MPAKA IGOTE MWISHO

HAITAKUWA mwisho mpaka ifike mwisho kwenye mashindano yote ambayo timu zinashiriki iwe ni kwenye ligi ama Kombe la Shirikisho. Ipo wazi kwamba bingwa mtetezi wa mataji yote ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga wao watakutana na Singida Big Stars mchezo wa hatua ya nusu fainali na Azam FC watamenyana na Simba kweye…

Read More