RIVERS UNITED 0-0 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria unasoma Rivers United 0-0 Yanga ikiwa ni dakika 45 za awali. Yanga inaliandama lango la wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wakimtumia Fisto Mayele na Aziz KI. Mashuti 6 Yanga wamepiga matatu yamelenga lango huku Rivers wakiwa wamepiga mashuti 7 hakuna hata moja lililolenga…

Read More

AZAM FC YAISHUSHA SINGIDA BIG STARS

USHINDI waliopata dhidi ya Ruvu Shooting unawapeleka nafasi ya tatu kwenye msimamo 53. Ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Aprili 22,2023. Ruvu wanagotea nafasi ya 16 wana pointi zao 20 wamecheza wote mechi 27. Azam FC wanaishusha Singida Big Stars kwenye nafasi ya…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED

UWANJA wa Godswill Akpabio nchini Nigeria, wawakilishi wa Tanzania, Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kikosi cha Yanga kitakachoanza kipo namna hii:- Diarra Djigui Djuma Shaban Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Bacca Bangala Farid Mussa Fiston Mayele Mudhathir Yahya Aziz KI

Read More

SALIM PONGEZI SAWA LAKINI TIMU INAZIDI KUIMARIKA

ANGALAU kwenye ukuta wa Simba kuna makosa yanazidi kufanyia kazi hasa eneo la ulinzi ambalo limekuwa lifanya makosa mengi makubwa yanayoigharimu timu. Ukimpongeza Ally Salim kwenye mechi tatu ambazo amekaa langoni ukamuweka kando nahodha Mohamed Hussein bado utakuwa hujatenda haki. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Mohamed alifanya makosa mengi ambayo yalimpa mtihani…

Read More

KAZI YA KWANZA KIMATAIFA HAIKAMILISHI HESABU BADO

MATOKEO ya mchezo wa kwanza hayana maana kwamba safari imegota mwisho kwa kila timu bali ni mwendelezo kwenye mchezo unaofuata. Hakika kwenye mechi za kimataifa wawakilishi wana kazi kubwa kusaka ushindi ili kupata matokeo mazuri ambayo yatawapa furaha mashabiki na Tanzania kiujumla. Kwa wakati huu kwenye hatua ya robo fainali ni mechi mbilimbili zinachezwa kwa…

Read More

TWAHA KIDUKU AFANYA KWELI

BONDIA Twaha Kiduku amechapa Lago Kiziria kutoka Georgia kwa pointi na kufanikiwa kutetea taji lake la UBO huku akishinda taji jipya la PST hapa katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro. Baada ya ushindi huo Twaha ambaye ni mzawa ameweka wazi kuwa furaha ya ushindi ni kubwa na hatarudi nyuma kwa kuwa anahitaji kufanya vizuri zaidi. “Wamezoea…

Read More