
HUYU HAPA MWAMUZI MECHI YA SIMBA V YANGA
JONESIA Rukya ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Ligi Kuu Bara Kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho Aprili 16, Uwanja wa Mkapa. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa timu zote mbili kusaka ushindi. Jonesia kutoka Kagera atashirikiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa line 1, Janeth…