
MAN CITY YAICHAPA 4G LIVERPOOL
NI Jack Grealish alifunga kamba ya mwisho dakika ya 74 dhidi ya Liverpool,Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mabao mengine ni Mali ya Ilkay Gundogan dakika ya 53 Kevin De Bruyne dakika ya 46 na Julian Alvarez dakika ya 27. Mohamed Salah huyu alikuwa nyota wa kwanza katika kufunga bao kwenye mchezo…