>

UGANDA WAIPIGA MKWARA HUU TANZANIA

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Uganda, Emanuel Okwi ameweka wazi kuwa kesho watapambana kupata matokeo dhidi ya Tanzania. Uganda ipo Bongo ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stars kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast. Katika mchezo uliochezwa Misri, ubao ulisoma Uganda 0-1 Tanzania huku bao likifungwa na Simon Msuva….

Read More

WACHEZAJI TAHADHARI MUHIMU UWANJANI

UPENDO ni bora zaidi kwenye ulimwengu wa mpira kwa kuwa unatuunganisha pamoja popote ambapo tupo na hivyo ni muhimu kwa wale ambao wanacheza kuwa makini. Muda huu kuna baadhi ya wachezaji wapo kwenye mapumziko kutokana na timu za taifa kuwa na kazi kwenye kuwania tiketi ya kufuzu Afcon. Hii ipo wazi lakini wapo wachezaji ambao…

Read More

WACHEZAJI WALIOONGEZWA STARS WAONGEZA NGUVU

HEMED Morocco, kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika kikosi hicho kunaongeza upana wa kuchagua kikosi kitakachoanza dhidi ya Uganda. Ni Mohamed Hussein na Shomari Kapombe hawa wameongezwa katika timu ya Tanzania inayofanya maandalizi ya mwisho kuikabili Uganda. Ni kesho Uwanja wa Mkapa saa 2:00 usiku…

Read More

KASINO YA MTANDAONI MERIDIANBET INAKUPA MTONYO ZAIDI!

Sub-heading: Jisajili Meridianbet na upate mizunguko 50 ya bure ya kasino ya mtandaoni! Bonyeza hapa kujisajili https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Huenda wewe ukawa sehemu ya washindi wakubwa kila siku kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, pata bonasi kibao na ushindi mkubwa mara 1000 ya dau lako uliloweka kutoka sloti ya FoxPot Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot Kutoka kasino…

Read More

STARS WAPENI FURAHA MASHABIKI KWA KUFANYA KWELI

WAKATI mzuri kuendeleza mazuri ambayo mlifanya kwenye mchezo uliopita ugenini mkiwa na mashabiki wenu ni sasa kwa wachezaji wa Stars . Hakika kushinda ugenini ni ushindi mkubwa mbele ya mashabiki wao waliokuwa nao hapo unadhani wao watakuwa wanahitaji nini kama sio ushindi? Wamepata ugumu walipokuwa nyumbani sasa wanakuja ugenini wakihitaji kurejea na furaha hivyo ni…

Read More

WAWILI WAONGEZWA STARS

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia amesema wachezaji wawili wazoefu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania. Hiyo ikiwa ni baada ya timu ya Stars kukamilisha mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Uganda na kuibuka na ushindi wa bao 1-0….

Read More

NGOMA NZITO KWA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA

NGOMA ni nzito kwa makocha wawili wa mitaa ya Kariakoo, Robeto Oliveira wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na kila mmoja kutusua na wachezaji wake kwenye anga la utupiaji. Ni wale wa Simba wanaongoza kumsimamisha Rob ambapo ni mara 9 alinyanyuka kwenye benchi kufurahia mabao yaliyozamishwa kimiani. Mwamba wa…

Read More

AZAM FC KUPASHA MISULI NA KMC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanatarajia kumenyana na KMC Uwanja wa Azam Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kesho Machi 27. Timu hiyo imepoteza vigezo vya kutwaa ubingwa wa ligi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Ihefu na kugotea na pointi zao 47. Mkononi wana kete tano kukamilisha mzunguko wa pili ambapo…

Read More