MERIDIANBET WANAKUPATIA ODDS NONO WIKIENDI HII

Wiki imeisha kwa michezo mbalimbali Carabao, FA, Coppa Italia lakini sasa wikiendi hii ligi zinaendelea kuanzia leo Ijumaa, EPL na Ligi nyingi zitatimua vumbi kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wanatoa ODDS Nono na Machaguo Zaidi ya 1000+ Mechi kalii za leo, baada ya Tajiri wa Chelsea kutumia takriban paundi 300m kwenye usajili wa dirisha dogo, akiwaleta…

Read More

HII HAPA REKODI TAMU ILIYOWEKWA NA JEMBE

NI Saleh Ally Mhariri, Mtendaji wa Global Publishers na mwandishi mahiri wa habari za michezo, ameweka rekodi ya kuwa mwandishi wa Habari wa kwanza Tanzania kuchaguliwa na FIFA kupiga kura ya kumchagua mchezaji bora wa FIFA wa Dunia. Saleh Jembe amechaguliwa na FIFA kwa mara ya tatu wiki iliyopita, katika kitengo cha waandishi wa habari….

Read More

BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA

HENOCK Inonga, beki wa Simba amerejea kwenye uimara wake taratibu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons. Katika mchezo huo wa ligi Inonga mwenye mabao mawili alikwama kuyeyusha dakika 90 wakati timu hiyo ikisepa na pointi tatu mazima. Hakuwa kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji na Coastal Union na anatarajiwa…

Read More

NGOMA SITA BORA KAZIKAZI, RATIBA YAO HII HAPA

KILE ambacho wanazidi kukionyesha Arsenal kwenye Premier League pengine wengi hawakutarajia kwamba hadi sasa wangekuwa wanakalia kileleni mwa msimamo tena dhidi ya klabu ambazo zinaonekana zilizoeleka kwenye nafasi hiyo Manchester City na Liverpool. Arsenal kwa sasa ndio wako kileleni kwa tofuti ya alama tano dhidi ya wanaowafuatia ambao ni Man City na 11 dhidi ya…

Read More

SIMBA YAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS

BAADA ya kumalizana na Coastal Union kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kituo kinachofuata kwa Simba ni dhidi ya Singida ig Stars. Leo Februari Mosi 2023 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi kwa ajili ya kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Ijumaa. Februari 3 utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba ndani ya mwezi mpya 2023…

Read More

MO APANDA KWENYE CHATI ZA MABILIONEA

MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi karibuni Jarida la Fobes kutoa orodha ya mabilionea 19 Afrika. Katika orodha hiyo iliyotoka Januari 30, 2023, Mo Dewji ambaye ni Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, ameshika nafasi ya…

Read More

AZAM FC YAPOTEZA MCHEZO WA KIMATAIFA

KWENYE mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Hilal uliochezwa Januari 31, timu hiyo ilipoteza mchezo wake. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 0-1 Al Hilal. Bao pekee la ushindi kwa Al Hilal lilipachikwa dakika ya 45 kupitia kwa Mohamed Abdelrahman ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo. Huo…

Read More