YANGA YAKOMBA POINTI ZOTE ZA KMC
HUKU kikosi cha Yanga kikiwa na nyota kadhaa ambao hawakuanza kikosi cha kwanza mchezo wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe wamesepa na pointi tatu zote za KMC. Kazi kubwa imemalizwa ndani ya dakika 40 za mwanzo ambapo bao lilipachikwa na Clement Mzize dakika ya 38 na kuipa pointi tatu Yanga. Uimara wa ukuta wa timu…