SIMBA WANA IMANI YA KUPATA USHINDI DHIDI YA AZAM FC

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wamekuwa na matokeo mazuri kwenye mechi za hivi karibuni kwenye ligi jambo linalowapa imani ya kupata matokeo dhidi ya Azam FC. Simba wamekuwa hawana bahati kwa kuwa mchezo uliopita wametoka kupoteza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kunyooshwa mabao 3-0 dhidi ya Raja Casablanca. Katika mchezo wao…

Read More

MASHABIKI MNASTAHILI PONGEZI

MASHABIKI mnastahili pongezi kwa namna ambavyo mmekuwa bega kwa bega na wawakilishi wa Tanzania kwenye anga za kimataifa. Tunaona kwenye kila hatua mmekuwa pamoja na timu pale zinapofanya vizuri mnafurahi pamoja na pale zinaboporonga mnatoa ushauri kwa viongozi. Kuna mengi ya kujifunza kwa mechi za kimataifa ikiwa hata namna ya ushangiliaji pamoja na kutokata tamaa…

Read More

SIMBA YAOMBA RADHI KWA MATOKEO MABOVU

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa kilichotokea Februari 18, haikuwa malengo yao hivyo wanaomba radhi kwa mashabiki na Watanzania kiujumla. Timu hiyo inayowakilisha Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0 -3 Raja Casablanca mbele ya mashabiki wao wakutosha. Meneja wa Idara ya…

Read More