YANGA YAITEMBEZEA KICHAPO TP MAZEMBE KIMATAIFA
YANGA imesepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe. Ikiwa Uwanja wa Mkapa ubao umesoma Yanga 3-1 TP Mazembe kwenye mchezo wa pili hatua ya makundi kimataifa. Ni Kennedy Musonda alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 6 kamba ya pili Mudhathir Yahaya ile ya tatu mali ya Tuisila…