
KIMATAIFA YANGA YAPOTEZA MBELE YA US MONASTIR
WAKIWA ugenini nchini Tunisia wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamepoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Olympic Rades umesoma US Monastir 2-0 Yanga. Pointi tatu zimeyeyuka mazima ugenini kwa Yanga ambayo ilifanikiwa kwenye umiliki wa mpira muda wote huku wapinzani wao wakimaliza kazi ndani ya…