
Meridianbet Yatoa Msaada kwa Wanawake Walemavu
Meridianbet Januari 16 2023, ilifunga safari moja kwa moja hadi mkoa wa Pwani wakiambiatana na timu nzima ya Masoko ikiongozwa na Meneja masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu kwaajili ya kuwashika mkono wanawake walemavu. Safari hiyo iliambatana na kutoa vifaa vya elektroniki (Kompyuta) ambayo inaweza kuwasaidia katika matumizi yao ya kila siku ya kuhifadhi data…