
NATHAN AKE APELEKA KILIO KWA WASHIKA BUNDUKI
BAO pekee ambalo lilipeleka kilio kwa washika bunduki Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya 4 FA Cup lilipachikwa kimiani na nyita Nathan Ake. Kwenye mchezo huo uliokuwa unaushindani mkubwa mashabiki wa Arsenal walishuhudia dakika 45 ngoma ikiwa ni nzito kwa timu zote mbili wakiamini watafanya jambo. Ubao ulipabdilika usomaji dakika ya 64 ambapo ulisoma Manchester…